Compositor: Não Disponível
Need your help I I need your help
I, I, I
Need your help I I need your help
Uliponitowa ni mbali eeeh
Sikua na ujanja wowotee
Neema kama moto ya washa my life ooh uuh
Kama jina langu your grace yatosha eeh eeh eeh
Sikwamba mi ni malaika
(Apa apana ehh)
Bali ni mwanadamu, mda mwengine nakosaa
Nikikukosea baba yooohh
Nikipotea njia baba eehh
(Nirejesheee)
Usiniachee
Unirejeshee
Nitengenezeee need your help
Need your help, I, I need your help
Mda mwengine natamani kutenda mema
Ila mabaya ehh
Yanitanguliaaah
Safari hiiiii ningumu saana
Mzigo huuu mzito sanaa
Nitumie upendavyoo niweke safiiiii yeee
Sikwamba mi ni malaika
(Apa, apana ehh)
Bali ni mwanadamu, mda mwengine nakosaa
Nikikukosea baba yooohh
Nikipotea njia baba eehh
(Nirejesheee)
Usiniachee
Unirejeshee
Nitengenezee
Mi naomba (nikupendeze upendezwe nami)